Malume 2021
Moni Centrozone
paroles Moni Centrozone Malume 2021

Moni Centrozone - Malume 2021 Lyrics & Traduction

Majengo Sokoni
(Tongwe records beiby)
Malume, my nigga Central haha yeah

Ushaiona simba yuko na chui, yuko na tembo?
Haiwezekani
Wiki mbili Gigi Money bila scandal?
Haiwezekani

mradi penzi na visend off
Mflex Istagram utasema Omari Nyembo
Naona picha za maqueen kwenye social
Jinsi wanavyofake kwenye soko

Damn they pretty as hell, Brazilian hair 
Hawana kazi ukiwataka pesa itaongea
Hata mi natembea na zana jeans zangu kata K
Sihitaji wengi wana mwanangu mi stapotea

Dem wako utamkataa alafu utampa na pa K
Ila ukimuacha utaona chipu anavyouza bei
I'm on to the next one ile kisizwa
Kijukuu cha mtume my nigga son of the Jesus
Sasa naspit too far natafta bar natafta reason
Hello Mr Scofield waeza escape kwenye prison

Malaya mtaji kiuno fifi moto
Wazazi wamenawa msimi nyoko
Daily niko ready kama protocal ya kyoto
Kichwani nina dredi mbichi shinda kokoto

Hatununui looku tukitoka tumenyoosha
Hatuchange buku kwa njaa ya siku moja
Hatuchinji kuku hata kama mgeni kaja

Kazi nilishapiga msasa
Na kuna wana walinitenga
Japo nilikuwa wasisi wa tamasha
Walichonizidi ni anasa 
Na sitojali wakinitenda mkwaji 
Ninacho labda nitengwe na kinyasa

Wazazi wamenawa msimi rasta
Watoto wanapagawa na vitasa
Kiukuu wakimwaga dark master
Wananijua  mi mtu safi niko na pigo za kimaster
Kuhusu maslayqueen sina haja ya kumvua chupi
As a matter of fact sijai kuwaona wakivaa chupi

Malume onetime haha...

Sasa wanataka mziki wanataka mtiti wa mtoto mtaani
Kimenuka street nipeeni strictly washa mjani
Unaambiwa no retreat no surrender kwenye army
Nishampoteza niliyempenda RIP my mummy

Ni talent ilonilete kwenye street
Nikipush sterling usiseme Uber acheni kwikwi
Ukiona casket ukiona sanda ni mazishi
Kabla ya sunset na 3D lunch kwa Shishi


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)