Mi ndo yule chawa wake langa
Chawa wake Roma
Sumbuka sumboko get the money
Serve the commas
Ghafla natrend kwenye riz wananisoma
Niko jangwani sea breeze mi nachoma
Kuona mtu wa watu na ukipanda stage ni show kali
Alafu toka wacho vinawaka kama Bob Marley
Kavitafuta mtoto mmoja msomali
Kisha mpeleke moto msonobari
Uh ulimwengu ndo mambo iko kwa kichwa
Niko na so famous kwa kitchen
Kaniambia nigga accomplish the mission
Kisha go fuvk them bitches
Kisha go pop them bottles
Nimeanza 2010 watoto wa baro
Siwezi lia kama Mukajo
Sponsa niachie my wangu
Ukiniona stage thats money
Kisha namla babe flani Fayvanny
Nashukuru Mungu naokota
Hivyo sishoboki na hizo shows
Mi mwenyewe promoter I promote my own shows
Nimetoka mlo mmoja mpaka sasa money flows
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)