I get high you give motivation
I get high iyee
I will die, nikikukosa fashion
Sing'ai
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
Ananipenda kwa sababu ni 2 face
Rasta pia babylon
458 kilomita mbali wee
Dar mpaka Dar es Salaam
Anajua maujuzi wee
Mtoto mkufunzi wee
Utamu mpaka na mchuzi wee
Walai wa baa la ushungi weee
Nilivyomtata nikimpata atafurahi
Kambi ya kijiti mixer hapa dry
Nina embe dodo ataka papai
Tulipotoka tushaoza si hatufai
Machizi mtaani charter
Waulize mabishoo tunapigisha kwata
Kiboko ya mabakunga nadhani ushanipata
Ibuka maghettoni kwetu Centrozone
Eastzoo, Majengo Sokoni
I get high you give motivation
I get high iyee
I will die, nikikukosa fashion
Sing'ai
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
Woyoyooo woyoo, oooyoyo
Woyoyooo woyoo, oooyoyo
Wanawaza kumake love na we love
Kwa shilingi ya marupia isiyotumika
Snapchat na uzuri unachangia
Let's get down, refa anapenda na kwa pia
Hata mcheza picha za utupu anataka nguo pia
Nimpende nani ka si wewe, wewe tu
Dua la kuku mpate mwewe, mwewe juu
Nimpende nani ka si wewe, wewe tu
Palipo kuwa na kuku wengi mchele tu
Machizi mtaani charter
Waulize mabishoo tunapigisha kwata
Kiboko ya mabakunga nadhani ushanipata
Ibuka maghettoni kwetu Centrozone
Eastzoo, Majengo Sokoni
I get high you give motivation
I get high iyee
I will die, nikikukosa fashion
Sing'ai
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
We ndo mambe dodo(Maembe dodo)
Woyoyooo woyoo, oooyoyo
Woyoyooo woyoo, oooyoyo
Maembe dodo, maembe dodo...
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)