Charlie Charlie
Mikos Gang
paroles Mikos Gang Charlie Charlie

Mikos Gang - Charlie Charlie Lyrics & Traduction

Mwathani ithue ni twooka
Mbele yaku tukitaka kuomoka
Manze jo tumechoka 
Ju ya senke kupigwa locker

Najifeel kimachokaa
Kwa Maina ndigacoka
Taste the feeling kama Coca
Your mother your nyokwa

Charlie charlie are you there?
Mmmh mmmh mmmh
Charlie charlie are you there?
Mmmh mmmh mmmh

Ma BBI bora bangi tu ivutwe
Ama Charlie Charlie ananichanganya
Siku hizi tangu club tu zifungwe
Kuna kitu natumia kinanichanganya


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)