Uuuuuuuuh
La la la la la la la la
Umeomba sana aah
Umehangaika sana aah
Umengoja sana ila majibu huoni
Nyuma mbele kwa marafiki hutoshi eey
Usife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yako
Usife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yako
Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Ahadi zake ni kweli
Njia zake sio kama binadamu
Akili zake ziko juu
Atusikia sisi wanadamu
Tulia.aah
Tulia na baba
Tusife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yetu
Tusife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yetu
Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Si zito si zito
Ooh
Hallelluyah ni mwaminifu
Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi halleluhya
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Atatenda muujiza kwa ajili yako
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Oooh
Yerah
Mkono wa bwana si mfupi
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)