My baby ooh mama ooh mama ooh
Nami naona
Hii kipenzi hoja maoja mao
Nami naona
My baby ooh mama ooh mama ooh
Nami naona
Hii kipenzi hoja maoja mao
Nami naona
Na ila kwenye mapenzi
Mi si kifaa
Najikaza mpamba nijenge furaha
Meja kumbe sipendwi mi sio shujaa
Napo penda sipendwi mi ndo kichaa
Ila kwenye mapenzi mi si kifaa
Najikaza mpamba nijenge furaha
Ila kwenye mapenzi mi si kifaa
Najikaza mpamba nijenge furaha
Ona Meja sipendwi mi sio shujaa
Napo penda sipendwi mi ndo kichaa
Ila lakini safi moyo wake furaha
Maana upendo uzingatiapo kwenye jaa
Pengine nina nuksi kunikosera
Kwangu giza uzimapo kwako kwa taa
Ila lakini safi moyo wake furaha
Maana upendo uzingatiapo kwenye jaa
Pengine nina nuksi kunikosera
Kwangu giza uzimapo kwako kwa taa
Ila mapenzi fumua redio chaneni za chama
Hauna kesho mapenzi yashazama
Ama mimi niwe chanuo hata nywele nitachana
Kilaze megio mwisho wa mapenzi uhasama
Basi mama kilio
Bei ndo iyo
Na meja ukinuna
Watachukua wenzio
Basi mama kilio
Bei ndo iyo
Na meja ukinuna
Watachukua wenzio
My baby ooh mama ooh mama ooh
Nami naona
Hii kipenzi hoja maoja mao
Nami naona
My baby ooh mama ooh mama ooh
Nami naona
Hii kipenzi hoja maoja mao
Nami naona
Nacha bado ile stori naikumbuka
Nyinyi ndo chanzo cha kutukatisha furaha
Mapenzi ubishani ushindani mngesema tu mwanzo
Sio kutwa kutunyanyapaa
Nacha bado ile stori naikumbuka
Nyinyi ndo chanzo cha kutukatisha furaha
Mapenzi ubishani ushindani mngesema tu mwanzo
Sio kutwa kutunyanyapaa
Nawe ndo umefanya nichukie shida zangu
Tena ukaziba nisilione jina langu
Mbali huko ndo panapotoka chozi langu
Na kama ungenipenda usingeniacha peke yangu
Ni wewe, mwenzako roho roho inauma
Eti na mesemeni inauma
Mwenzako roho roho inauma
Ninajuta cha kupenda
My baby ooh mama ooh mama ooh
Nami naona
Hii kipenzi hoja maoja mao
Nami naona
My baby ooh mama ooh mama ooh
Nami naona
Hii kipenzi hoja maoja mao
Nami naona
Na chula nakatika, chula nazungusha
Ona nakatakata, mi ananidatisha
Chula nakatika, chula nazungusha
Ona nakatakata, mi ananidatisha
Basi nifunulie pa, paja mama
Paja tena, njoo ucheze nami
Inafaa kaa chini una ka, kata dada
Kata tena nikatikie mi
Basi nifunulie pa, paja mama
Paja tena, njoo ucheze nami
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)