Mamu
Meja Kunta
paroles Meja Kunta Mamu

Meja Kunta - Mamu Lyrics & Traduction

Nami nasema sawa
Yote saaaawa
Jamani saaawa
Yote saaaawa

Basi na ooh mamu(ooh mamu)
Mamu mke wangu(ooh mamu)
Ooh mamu(ooh mamu)
We ndo full langu(ooh mamu)

Me nisamehe mke wangu(ooh mamu)
Me nimekosa baby wangu(ooh mamu)
Me nisamehe mke wangu(ooh mamu)
Jana nilikosa mke wangu(we mamu)

Aaah...Aaah...Aaah
Aaah...Aaah...Aaah

Mimi nimekosa nahitaji msamaha
Napiga goti nasota kwako baby wangu
Maana dunia ina taabu sana 
Ndo chanzo mpaka nikutukane mke wangu

Mimi nimekosa nahitaji msamaha
Napiga goti nasota kwako baby wangu
Maana dunia ina taabu sana 
Ndo chanzo mpaka nikutusi mke wangu

Na mamu ona ninavyochakaa
Mumeo mawazo bado yanisonga
Ukiniona kama kichaa
Mawazo kichwani, kichwa chanigonga

We mamu ona ninavyochakaa
Mumeo mawazo bado yanisonga
Ukiniona kama kichaa
Mawazo kichwani, kichwa chanigonga

Kwako nipate tu japo msamaha
Huenda nikaiona kesho yangu ikawa njema mama
Maana wa kwanza wa mwisho kulala
Na niko nyuma, kila langu nalofanya mama

Kwako nipate tu japo msamaha
Huenda nikaiona kesho yangu ikawa njema mama
Maana wa kwanza wa mwisho kulala
Na niko nyuma, kila langu nalofanya mama

Basi na ooh mamu(ooh mamu)
Mamu mke wangu(ooh mamu)
Ooh mamu(ooh mamu)
We ndo full yangu(ooh mamu)

Me nisamehe mke wangu(ooh mamu)
Me nimekosa baby wangu(ooh mamu)
Me nisamehe mke wangu(ooh mamu)
Jana nilikosa baby wangu(ooh mamu)

Aaah...Aaah...Aaah
Aaah...Aaah...Aaah

Mbomba wajaza full love
Lambe ijajaa
Maana akalove
Kuibadilisha njia

Nikajiona shujaa 
Maji kujaa
Kumbe ya dada 
Dalili laona

Na nasikia umefisha
Chama cha full love
Kama full love haya

Spichi udonge usitudame 
Ungechuchumaa
We chuchuma mwaya

Sio ulivyo ambiwa nenda mwana
Kwenda ukaona laa
Na ungejitunza ata kesho
Usije huba
 
Mola akakuumba kijana, ujana la
Samaki mpike apikike
Mwiba ukakaa(mwiba ukakaa)
Haina mambo

Oooh...
Me mumeo ooooh
Nakwomba pole
Olela oooh

Na mamu oooh
Me mumeo ooooh
Nakwomba pole
Olela oooh

Eti mama wazimu 
Wangu ukinipanda
Nitaku onjavua mie 

Ooh jamani wazimu 
Wangu ukinipanda
Nitaku onjavua mie 

Basi twende vua nione
Vua jamani
Vua nione, vua

Katikati 
Vua nione, vua jamani
Vua nione, vua 

Eti mama nimeinama
Nimeinuka
Nimeokota kidude

Sirudishi nimeokota kidude
Eti mama 
Nimeokota kidude
Sirudishi 


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)