Inawauma
Masauti
paroles Masauti Inawauma

Masauti - Inawauma Lyrics & Traduction

Inawauma hao, inawauma hao
Inawauma hao, hao hao hao
Inawauma hao, inawauma hao
Inawauma hao, tunavyopendana

(Motif di Don)

Macho yanawatoka wakituona mi na we
Roho zinawakereketa tunavyopendana na we
Wanasubiri pendo kuvunjika watasubiri sana we
Kitambo mizizi nimeshakita nimeridhika na we

Usijali wakikuita kimadaaa
Mama we wapoteze
Penzi lako risasi umenimada
Nishakufa kwako wewe

Inauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Tunavyopendana mi nawe

Inauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Acha roho zao ziwaume

Inawauma! Penzi letu la kibabi wivu wanatuonea
Inawauma! Wanalewa ma Konyagi si tunapiga Belaire
Inawauma! Chuma changu cha Doshi vyao vikaragosi
Inawauma! Hao mama, hao , hao mama hao

Tuwaache watatizike 
Si tufuate zetu tuwachoree
Kwenye penzi tumakinike 
Tusiwaruhusu wasogelee

Insta tukipost vipicha picha
Na vi-emoji vya makopa kopa
Ringisha mama deka deka
Ma ex waone ukidoda doda

Inauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Tunavyopendana mi nawe

Inauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Acha roho zao ziwaume

Inawauma! Penzi letu la kibabi wivu wanatuonea
Inawauma! Wanalewa ma Konyagi si tunapiga Belaire
Inawauma! Chuma changu cha Doshi vyao vikaragosi
Inawauma! Inawauma uma

Inauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Tunavyopendana mi nawe

Inauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Inawauma uma (Uma)
Acha roho zao ziwaume


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment