Sipiganagi Mwenyewe
Martha Mwaipaja
paroles Martha Mwaipaja Sipiganagi Mwenyewe

Martha Mwaipaja - Sipiganagi Mwenyewe Lyrics & Traduction

Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sishindanangi mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba 

Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Mwenzio sishindani mwenyewe
Mimi vita sijui
Mimi vita siwezi
Asema nitulie atajibu 

Kuna majira vita huja kwangu
Kuna majira watesi waliniunikia
Kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe
Nikasikia sauti, sauti imebeba ushindi wangu
Ikaniambia mimi ni Baba yako
Usipigane mwenyewe mwanangu 

Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sishindani mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio vita nimekataa
Ninapiganiwa na Baba 


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)