Eeeeeeh Yesu wangu
Japo jaribu nimeruhusiwa na wewe
Mwenyewe
Nilijaribu inaumiza moyo
Japo maumivu haya Yesu anayajua
Moyo wangu unateseka
Japo haya yote wewe pekee wajua
Lakini moyo wangu unateseka aaahh
Nitie nguvu Baba yangu
Naishi katikati ya watu wasiojua
Ni Nini napitia
Natembea katikati ya watu
Wasiojua maumivu yangu
Kwa Sababu ya maumivu nilio nayo
Bado hawajaelewa ninavyo teseka
Japo maumivu haya wewe Yesu wayajua
Japo moyo wateseka
Hivi naomba kwa unyenyekevu mkubwa usiniache nateseka
Baba yangu nimekubali kuteseka
Usiniache nikamezwa
Ila najaribu
japo ibrahimu aliitwa Baba wa Imani
Ibrahimu ulinena Naye ukasema utampaa watoto
Bado alilia
Japo alijua Baba wewe ndiye utampatia
Moyo wake uliteseka
Japo alijua Isaka Ni mtoto wa pekee
Alijua utampa watoto wazuri
Pamoja Nakuomba unatufundisha
Lakini mioyo inauma
Usituache Wana tukapotea
Usituache Wana tunaangamia
Usituache Baba
Usituache Wana tutapotea
Usituache Baba
Usituache Wana tutapotea
Usituache Yesu
Usituache Baba
Tutapotea
Usituache Baba Tutapotea
Usituache Baba
Usituache Wana tutapotea
Usituache Yesu
Usituache Baba Tutapotea
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)