Yaw, yaw
Zara boy pass me the weed, I'm about to say something real shit, nigga
Bombocla-a-t
(Staki tena pombe)
(Staki tena pombe)
[Harmonize]
Mtu gani nisio msiri nikilewa naropoka
Ama pombe mnayoniypa mimi kuna kwingine inakotoka
Hangover, ilinichapa jana nikatamani kuokoka
Walahi nikinywa tena sifiki hata mbinguni karoho kakinitoka
Kubwa zima wa kushikwa mkono
Pombe mwenzake ngono
Eh nikidondoka nalala pono pombe
Eti kubwa zima wa kushikwa mkono
Pombe mwenzake ngono
Eti nikidondoka nalala pono pombe, mh
[Harmonize]
Tangazo, tangazo
(Staki tena pombe)
Oya mi mtu wa soda juisi kunoga
(Staki tena pombe)
No, no, I don't wanna drink no more
(Staki tena pombe)
Kama unanipenda kweli usinipe pombe
(Staki tena pombe)
[Harmonize & Marioo]
Mbanembaniwa
Kaniba
Salimia Tina lile
[Marioo]
Ooh, Aloo
Nikiwa sober najua kwamba alinikosea
Nikila tungi nasahau namlilia
Nikiwa sober najua kwamba alinionea
Ila nikiwa tungi ndio siwezi kumchunia
Anatumia weaknesses zangu ndo maana anapenda mimi nilewe
Anajua kabisa vitu vikipanda vinashuka chini
Anatumia weaknesses zangu ndo maana anataka mimi nilewe
Anajua kabisa kwamba zikipanda sijiwezi mimi
[Marioo]
Tangazo, tangazo
(Staki tena pombe)
Ukinikuta nakunywa nakupa milioni
(Staki tena pombe)
Tangazo, tangazo
(Staki tena pombe)
Kwa akili zangu timamu nasema
(Staki tena pombe)
It's Kanibaah
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)