Hayana Jipya
Manengo
paroles Manengo Hayana Jipya

Manengo - Hayana Jipya Lyrics & Traduction

Penda ama pendo ama ingine Kuna Mwisho like that
Mapenzi sio ngazi so you better know

Penda ama pendo ama ingine Kuna Mwisho like that
Mapenzi sio ngazi so you better know

Sisi si macasanova sisi si maplay boy
Pale shule sitaki uhate boy
Linda mwenyewe Kama message itakuforwadii
Leo Yuko na wewe Kesho atakuforwadi
Madame wanataka bugger kuku pizza na mixer wote Muombe Mungu asiposhiba atakuigiza

Sihitaji ufadhili wa magaa bunda
Mvua la usaliti lishanyesha nikaegama
Lakini Uzuri mapenzi yalitoboka haya
Ni jipya na siyo story
Hayana jipya jipya 
Yakikubeep usijibike

Mwanzo nilijua love ndio kimbilio
Oh my God kumbe yasizidi force
Mapenzi hayalewi kama yanaforce
Sikupata yenyewe Nilipata noise
Kucha Usiku kelele

Ondoka unanuka unanuka gundu
Kwanza nimeshanuka 
Kwanza hayana jipya jipya
Yakikubeep usijibike
Nazo visa hayana tuzo

Hayana jipya na siyo story
Hayana jipya Na siyo story
Hayana tuzo hayo
Wengi walishashindwa nayo

Hayana jipya 
Yakikubeep hayana jipya
Hayana tuzo 
 


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)