Madini Classic yeah
Classic, bazenga
Nimekuja leo kwa sababu yako
Na naamini utanipenda we sio hearbreaker
Nipo radhi hata unidanganye danganye sawa
Nimejitolea nikupe true love
Japo najua sio rahisi ila sio mbaya
Nipo radhi ata unidanganye nitasema sawa
So baby twende lockdown
Mfuko nina mavumba ila sina somebody
Na hata kinywaji nishanunua twende
Mmh put on your make up
Upendeze leo hatutazima
Haya twende taratibu, mmh taratibu
Ayee taratibu, sijakuja kuharibu
Haya twende taratibu, mmh taratibu
Ayee taratibu, sijakuja kuharibu
Nilinde kama bosi, bosi
Usilete mikosi
Na ukitaka goodlife chuna zangu noti
[Breeder LW]
Taratibu dogo dogo pace yangu ni ya kibabu
Papa Fathela mi nitakufunza adabu
We hucome alive kwanza masaa za curfew
Ukiwa na beshte yako mi naogopa utani ambush
Right left tunaifanya ki salsa
Slit kwa hio dress ndo inafanya nakutaka
Man a pimp so naifanya for the culture
Order kile unataka na hio bill iletwe hapa
Black fine ting na unastay ka viking
Leta vodoo hii masaa sidai gin
Chafua sheets after this tu dry clean
Now you rocking with the best kwa hii scene
Haya twende taratibu, mmh taratibu
Ayee taratibu, sijakuja kuharibu
Haya twende taratibu, mmh taratibu
Ayee taratibu, sijakuja kuharibu
Pole pole taratibu don't force it
So fly ni ka uko ndani ya cockpit
Pole pole taratibu don't force it
Kile we unafanya kuwa sure watacopy
Fanya kama unataka kama hutaki
Na ukipenda utamu wa mshikaki
Taratibu, taratibu
Haya twende taratibu, mmh taratibu
Ayee taratibu, sijakuja kuharibu
Haya twende taratibu, mmh taratibu
Ayee taratibu, sijakuja kuharibu
Taratibu ayee
Haya twende taratibu, mmh taratibu
Ayee taratibu, sijakuja kuharibu
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)