Tujikinge na Corona
Justina Syokau
paroles Justina Syokau Tujikinge na Corona

Justina Syokau - Tujikinge na Corona Lyrics & Traduction

Ooooh Mungu tusaidie
Tuepushe na  corona 
Tuepushe na Hii Virus Mungu Wetu

Osha mikono yako 
Kwa sabuni na usijiguse uso (x2)
Tumia sanitizer epuka kuambukizwa Corona(x2)
Tujikinge na Corona imesambaa kila pande tuwe macho 
Tujikinge na Corona tukiomba Mungu atuepushe

Tukitubu dhambi zetu 
Na kuepuka njia zetu mbaya
Punguza salamu za mikono 
Kubusu na Kuhuggiana 
Dalili za Corona Kukohoa na kupiga chafya
Ukiona dalili Kama Hizo ripoti usaidiwe

Tukiona Dalili Kama Hizo 
Tujikinge na Corona Imesambaa 
Tukiomba Mungu atuepushe
Kaunti zote watu wakue makini Sanar
Dinj zote tuombeni 
Watu wote kila mahali tuombe Corona 
Imalizike
Makashifu wachungaji Corona Itaisha

Tujikinge na Corona Imesambaa kila mahali tuwe macho
Tujikinge na Corona Tukiomba Mungu Atuepushe

Ooooooh Mungu tunakuomba
Aaaah tuondolee Corona 
aaaah tunakuhitaji 
Ooooooh Mungu tunakulilia 
Aaaaah utuondolee Corona 
Kwa jina La Yesu limeshindwa
Corona Virus Limeshindwa 

 


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)