Me nakuambia umebarikiwa si mchezoRRRRR
Kila kitu iko sawa kutoka mguu mpaka menoRRRR
Nitafanya juu chini nisikuumizeRRRR
Roho yako hiyo safi niilindeRRRR
Lazima dunia mzima ijue we ni wanguRRRR
Na hivi karibuni unakuja kuishi kwanguRRRR
Nikuchunge daily vile inafaa
Sababu jo we ni manzi wa maanaRRRR
Na ni muhimu ujue unapendwa sanaRRRR
Tena sana na ni zaidi ya janaRRRR
Ama juzi vile utatakaRRRR
We si baiby tena we ni mamaRRRR
Sai wanaongea mbaya lakini me siwasikizi
Umenikoroga ata siskii wanasema niniRRRR
Niambie kitu yoyote me nitafanyaRRRR
Niambie mahali popote me nitahamaRRRR
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Hakuna mwengine
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Hakuna mwengine
Nachanganyikiwa kila saa nikikuonaRRRRR
Mtu wangu we ni addictive kama soccerRRRRR
Premier legue we ni number mojaRRRRR
Hawa wengine itabidi wamengojaRRRRR
Chini chini wanajaribu kunyemelea
Chini chini wanajaribu kunihemea
Lakini niko focused mbaya sanaRRRRRR
Hakuna kitu inaweza nitoa hapaRRRRR
Ni wewe na mimi, mimi na weweRRRRR
Na itakuwa hivyo wapende wasipendeRRRRR
Kazi yao ni kutuangalia tu
Na roho ngumu zikona machunguRRRRR
Me nakaa hapa tu nikicheka
Hawatambui vile roho yangu umeiwezaRRRRR
Na ni miaka mingi itabaki hivyo
Na nitakuwa na wewe mpaka mwishoRRRRR
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Hakuna mwengine
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Hakuna mwengine
Usijitishe na kitu yoyoteRRRRR
Usitishwe na mtu wowoteRRRRR
Nangos ikipigwa we jua ni biashara
Ya kujenga maisha yetu ya baadaye ikue sawaRRRRR
Unajua kunituliza ka nimechokaRRRRR
Jioni hausahau kuniwekea maji ya kuogaRRRRR
Nikiingia kejani uninivua viatuRRRRR
Unimassage kiasiRRRRR mpaka ma saa tatuRRRRR
Halafu unaandaa chakula tamu kwa mezaRRRRR
Kwanza kuku ya jana iliwezaRRRRR
Ona vile boy wako amenawiri
Maisha ya ubachelor staki si siri
Unapiga magoti unaniambia asanteRRRRR
Napiga magoti nakupiga mateRRRRR
Nakuangalia kwa macho nakuambia nakupendaRRRRR
Hakuna mtoto mwengine ka wewe Miss KenyaRRRRR
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Hakuna mwengine
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Mimi me nakupenda
Hakuna mwengine
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)