Pita Nawe, Pita Nawe
Wananiita komesha roho wakijigonga
Nawapa sabuni ya roho wanapokoga
Wanakata sana pake wamedata
Mbali nami hawasogei wakishapata
Basi sogea nikuelezee
Mi mwenzako ni hoi
Yule wa kwako we mpoteze ei
Kwangu mi hatoboi
Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumakumaku ganda
Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumaku aaah
Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Pita pita pita
Akisleki mi na pita nawe
Pita pita pita
Akisleki mi napita nawe
Songa nikudatishe
Songa mi nikulishe lishe
Njoo nikupagawishe
Wengine uwapishe pishe
Penzi lake pamba
Upande wa kitanda
Wangu bado mshamba
Hajui kutamba
Ipi tui me nikupe mate eeh
Uitafune
Kwako nimejipa
Sina ujinga mi
Beiiby
Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumakumaku ganda
Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumaku aaah
Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Pita pita pita
Akisleki mi na pita nawe
Pita pita pita
Akisleki mi na pita nawe
Akisleki mi na pita nawe
Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumakumaku ganda
Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumaku aaah
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)