Dekeza
Jovial
paroles Jovial Dekeza

Jovial - Dekeza Lyrics & Traduction

Baby there is something about you
Lets talk about love 
Lets talk about trust

Kwako nimezama, nimechizi
Nivute kwako aah
Me niwe wako

Mapenzi yangu kwako me naridhia
Baby nipe yote asilimia
Penzi lako hunny nakwamia

Napenda navyojua wanidekeza
Haswa unavyonibebeleza
You me me fall in love
When you hold me tight
Nimenoga kwako wee

Napenda navyojua wanidekeza
Haswa unavyonibebeleza
You me me fall in love
When you hold me tight
Nimenoga kwako wee

Kwako sitoki aaah aah
Nimezama sijiwezi
Kwako sitoki oooh aah
Nimezama sijiwezi

Dem call me Arrow Bwoy
My angel sent from heaven
Natural beauty God given
The way you light up my whole world
Girl you make me go gaga

Ah, ninapopiga roundi 
Nashindwa zawadi gani nikubuyie beiby
To put up a smile on your face
Wewe ni wa dhamana

Na nikirudi nyumbani
Nashindwa nyimbo gani nikuimbie beiby
Embe dodo, embe dodo my darling
Am the one who gon' die for you

Spend all my money pon you
My beiby pon you
I say my beiby pon you

We do the digi digi with you
Spend all my life with you
Oh, kwako nimezama sitoki
Mi sihami my beiby

Kwako sitoki oooh yeah
Nimezama sijiwezi
Kwako sitoki (mama sitoki)
Nimezama sijiwezi

Nataka weii
Nataka unipende, 
Nataka unipende weeii
Nataka weii

Nataka weii
Nataka unipende, 
Nataka unipende weeii
Nataka weii

Napenda navyojua wanidekeza
Haswa unavyonibebeleza
You me me fall in love
When you hold me tight
Nimenoga kwako wee

Napenda navyojua wanidekeza
Haswa unavyonibebeleza
You me me fall in love
When you hold me tight
Nimenoga kwako wee

Kwako sitoki aaah aah
Nimezama sijiwezi
Kwako sitoki oooh aah
Nimezama sijiwezi

Kwako sitoki aaah aah
Nimezama sijiwezi
Kwako sitoki oooh aah
Nimezama sijiwezi

Nataka weii
Nataka unipende, 
Nataka unipende weeii
Nataka weii

Nataka weii
Nataka unipende, 
Nataka unipende weeii
Nataka weii

Dem call me ArrowBwoy


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)