Upendo
John Nyambu
paroles John Nyambu Upendo

John Nyambu - Upendo Lyrics & Traduction

Anakupenda eeh
Pasi yale yote uliyotenda
Popote unapoenda
Baba anakupenda tu

Anakupenda eeh
Pasi yale yote uliyotenda
Popote unapoenda
Baba anakupenda tu

Upendo wako Yesu sijapata kwingine
Nimezunguka, zunguka sijauona kamwe
Thamani ya kunipenda mimi msalabani thibitisho
Thamani ya kunipenda mimi msalabani thibitisho
Ukasema wanipenda Neno lako suluhisho
Ukasema wanipenda Neno lako suluhisho

Anakupenda eeh
Pasi yale yote uliyotenda
Popote unapoenda
Baba anakupenda tu

Anakupenda eeh
Pasi yale yote uliyotenda
Popote unapoenda
Baba anakupenda tu

Nitakuimbia mie Baba we mweza wa yote
Furaha kajawa moyoni nikiwaza upendo wako kwangu
Tumaini langu mie kaliwacha mikononi mwako Yesu
Tumaini langu mie kaliwacha mikononi mwako Yesu
Sijapata wa kunipenda, mwenye upendo kama wako
Sijapata wa kunipenda, mwenye upendo kama wako

Anakupenda eeh
Pasi yale yote uliyotenda
Popote unapoenda
Baba anakupenda tu

Anakupenda eeh
Pasi yale yote uliyotenda
Popote unapoenda
Baba anakupenda tu

Usiogope baba we anakupenda sana
Usiogope mama we anakupenda sana
Usiogope kaka we anakupenda sana
Usiogope dada we anakupenda sana

Ukiwa na shida mwambie (Mwambie)
Ukililemewa Mwambie (Usiogope)
Usiogope mwambie, mwambie

Anakupenda eeh
Pasi yale yote uliyotenda
Popote unapoenda
Baba anakupenda tu

Anakupenda eeh
Pasi yale yote uliyotenda
Popote unapoenda
Baba anakupenda tu


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)