Siku Njema
John Nyambu
paroles John Nyambu Siku Njema

John Nyambu - Siku Njema Lyrics & Traduction

Nasheherekea siku njema kajaliwa
Namshukuru mwokozi amenipa maisha
Nasheherekea siku njema kajaliwa
Namshukuru mwokozi amenipa maisha

Ni siku njema nami kajaliwa
Zawadi nzuri kutoka kwa Mola
Amenipa uhai nasonga

Nacheza kidogo ni furaha ninayo moyoni
Nashukuru ninayo nafasi kazi yake kamilisha
Nacheza kidogo ni furaha ninayo moyoni
Nashukuru ninayo nafasi kazi yake kamilisha

Eeh Baba nakupa sifa siku ya leo
Nainua mikono nasema asante

Nasherekea siku njema kajaliwa
Namshukuru mwokozi amenipa maisha
Nasherekea siku njema kajaliwa
Namshukuru mwokozi amenipa maisha

Ooh ndio naimba mie
Leo mi naimba asante
Naimba asante
Naimba asante aliye juu

Ndio naimba mie
Leo mi naimba asante
Naimba asante
Naimba asante aliye juu

Aniwazia mema ye muumba wangu
Kila siku ni mpya kwangu kuona ukuu wake
Naruka kidogo, afya mie ninayo nasifu
Naamini yeye yunami na yanipa motisha
Naruka kidogo, afya mie ninayo nasifu
Naamini yeye yunami na yanipa motisha

Eeh Baba nashindwa kulewe mienendo yako
Nieleze mwanao daima nikae nawe
Nasema Asante

Nasherekea siku njema kajaliwa
Namshukuru mwokozi amenipa maisha
Nasherekea siku njema kajaliwa
Namshukuru mwokozi amenipa maisha

Ooh ndio naimba mie
Leo mi naimba asante
Naimba asante
Naimba asante aliye juu

Ndio naimba mie
Leo mi naimba asante
Naimba asante
Naimba asante aliye juu

Ni siku njema, kumsifu tena
Aniwazia mema ooh
Ni siku njema, kumsifu tena
Aniwazia mema ooh

Nasherekea siku njema kajaliwa
Namshukuru mwokozi amenipa maisha
Siku njema kajaliwa
Namshukuru mwokozi amenipa maisha

Ooh ndio naimba mie
Leo mi naimba asante
Naimba asante
Naimba asante aliye juu

Leo mi naimba asante
Naimba asante
Naimba asante aliye juu


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)