Kuna yule anipenda
Nilimkosea sana lakini bado kaniita
Kaniambia mwana wangu njoo
Kanifanya upya jina nalo kanibadilisha
Kasema yaliyopita nisiangalie Ashanisamehe
Twasira ya maisha yangu kaifanya upya
Mwelekeo wangu kaugeuza
Twasira ya maisha yangu kaifanya upya
Mwelekeo wangu kaugeuza
(Aaaaaah.. aah)
(Aaaaaah.. aah)
Kuna yule anipenda
Alinisubiri hadi nilipopata njia kwa upole
Hekima na ustadi wangu haungeniokoa
Toka Nguvu za giza ooh
Twasira ya maisha yangu kaifanya upya
Mwelekeo wangu kaugeuza
Twasira ya maisha yangu kaifanya upya
Mwelekeo wangu kaugeuza
(Aaaaaah.. aah)
(Aaaaaah.. aah)
Kunaye mmoja anatupenda
Jina lake ni Yesu, ni Yesu
Kunaye mmoja anayesubiri
Jina lake ni Yesu, ni Yesu
Ni Yesu, ni Yesu (Anatupenda)
Ni Yesu, ni Yesu (Anasuburi)
Ni Yesu, ni Yesu (Anaokoa)
Ni Yesu, ni Yesu (Anabadili)
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)