Mkono wako Jehovah
Unabadilisha mambo
Mkono wako Jehovah
Unabadilisha mambo
Badilisha eeh
Badilisha oooh
Badilisha eeh
Badilisha
Niliambiwa na dakitari
Nitafanyiwa upasuaji
Huzuni nyingi, majonzi mengi
Zikanipata moyoni mwangu
Ewe Yesu kaniambia
Uko nami nisiogope
Nikafunga safari kwenda
Hadi India nikatibiwe
Wakenya mliniombea
Kwa moyo wangu nawadhamini
Nguvu ya maombi mimi niliona
Nikiwa India Mungu alinijia
I am free, I am free
I am free, I am free
Mkono wako Jehovah
Unabadilisha mambo
Mkono wako Jehovah
Unabadilisha mambo
Badilisha eeh
Badilisha oooh
Badilisha eeh
Badilisha
Kuna watu walisema ni saratani
Wengine wakadai nimekufa
Wengine wakasema natafuta kiki
Lakini Mungu unanijua
Ndo maana ukaniponya
Maisha yangu sasa ni sawa
Nguvu ya maombi mimi niliona
Nikiwa India Mungu alinijia
I am free, I am free
I am free, I am free
Mkono wako Jehovah
Unabadilisha mambo
Mkono wako Jehovah
Unabadilisha mambo
Badilisha eeh
Badilisha oooh
Badilisha eeh
Badilisha
Ulinibadilishia mambo
Ili nitabirie wengine
Wanao yapitia mangumu
Niwaambie itakuwa sawa
Itakuwa sawasawa aah
Itakuwa sawasawa aah
Haijalishi unapitia nini
Itakuwa sawasawa aah
Angalia juu kwa Yesu
Itakuwa sawa aah
Nguvu ya maombi mimi niliona
Nikiwa India Mungu alinijia
I am free, I am free
I am free, I am free
Mkono wako Jehovah
Unabadilisha mambo
Mkono wako Jehovah
Unabadilisha mambo
Badilisha eeh
Badilisha oooh
Badilisha eeh
Badilisha
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)