Macho yangu yameona sawa
Masikio yangu umefungua nasikia
Mkono wangu umeushika sawa (Sawa sawa)
Miguu zangu umeongoza kwa njia zako
Nafsi yangu ilipokuwa na kiu ulininywesha
Ulinifanya nipendwe na mataifa yote baba
Ombi langu ulisikia makini na ukajibu
Baba sikatai nakupa utukufu wote
Ila sitaki utukufu wa jana unifumbe macho
Nataka nipige hatua nyingine nawe
Give me more of You Lord
Sijafika mwisho
Natamani zaidi, zaidi yeyeye
More of You Lord
Lord I need to see more of You
More of You Lord
Lord I need to see more of You
Baba nimekuona kwa macho yangu mimi
Vile umeinua badili maisha ya watu
Tena nimejua we si mwanadamu udanganye
Unalifuata neno lako utimize
Basi baba rudia
Jionyeshe mara tena
Watu wakuone
Wakuone ukitenda kazi
Mungu wa dunia jionyeshe mara tena
Watu wakuone, wakuone ukitenda kazi
Mungu wa Bibilia jionyeshe mara tena
Wagonjwa wapone, wakuone ukitenda kazi
Ila sitaki utukufu wa jana unifumbe macho
Nataka nipige hatua nyingine nawe
Give me more of You Lord
Sijafika mwisho
Natamani zaidi, zaidi yeyeye
More of You Lord
Lord I need to see more of You
More of You Lord
Lord I need to see more of You
Unishangaze zaidi, uniloweshe zaidi
Na roho wako, na roho wako
Unishangaze zaidi, uniloweshe zaidi
Na roho wako, na roho wako
More of You Lord
Lord I need to see more of You
More of You Lord
Lord I need to see more of You
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)