Jadi
Kaka Empire
Muziki made this beat
Nishacontrol, ukizunguka tunabaki on hold, nasiezi ficha
Local man anakimbizwa kortini on spot
Hawaamini ni naweza support
All of your vibe, and all of your flavor
Ushaniwai, imebaki uwe wife
Siwezi shikilia tena, Itabidi kesi baadae ayaye
Say Ndindindi, kama Lady Jaydee
Waiter nipe JD, mtoto fulani, anafanya niday dream
Driving me crazy
Katoto full bundle, kana ma scandal
Mi siwezi muweka kando, kamili gado
Mamacita Te Amo!
Kesi baadae, kesi baadae
Kama ni pingu waniseti
Kesi baadae, kesi baadae
Umesha amua nimekuchagua
Kesi baadae, kesi baadae
Kama ni pingu waniseti
Kesi baadae, kesi baadae
Umesha amua nimekuchagua
Baby, I be feeling your vibe
Got me feeling so high, on the daily
Girl I won't lie
Make a do anything for you
Tell me what you want I'm gonna do
Mi sijali kesi ,ka ni pingu wacha waniseti eii
Kesi baadae, kesi baadae
Kama ni pingu waniseti
Kesi baadae, kesi baadae
Umesha amua nimekuchagua
Kesi baadae, kesi baadae
Kama ni pingu waniseti
Kesi baadae, kesi baadae
Umesha amua nimekuchagua
Kesi baadae, kesi baadae
Kama ni pingu waniseti
Kesi baadae, kesi baadae
Umesha amua nimekuchagua
I'm loving your confidence
I can give you providence yeah
I'm loving your confidence
I can give you providence ...oh no no
Kama ni pingu waniseti
Umeshaa amua nimekuchagua
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)