Tanzanie - Mungu ibariki Afrika
Hymne national
paroles Hymne national Tanzanie - Mungu ibariki Afrika

Hymne national - Tanzanie - Mungu ibariki Afrika Lyrics

Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.

Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki
Tanzania na watu wake.

Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Paroles de chansons de Hymne national

Sélection des chansons du moment