paroles Healing Worship Team Nitaimba

Healing Worship Team - Nitaimba Lyrics & Traduction

Sitaacha mawe yakusifu
Bado nikiwa hai
Sitaacha miti ikusifu
Bado nikiwa hai
Sitaacha mawe yakusifu
Bado nikiwa hai
Sitaacha miti ikusifu
Bado nikiwa hai

Litaliinuwa jina lako
Na nguvu zangu zote
Nitaliinuwa jina lako
Kwa mataifa yote
Litaliinuwa jina lako
Na nguvu zangu zote
Nitaliinuwa jina lako
Kwa mataifa yote

Nitaimba kwa sauti kubwa
Nitangaze jina lako
Eeh Yesu bwana wangu
Jina lako liinuliwe
Nitaimba kwa sauti kubwa
Nitangaze jina lako
Eeh Yesu bwana wangu
Jina lako liinuliwe
Nitaimba kwa sauti kubwa
Nitangaze jina lako
Eeh Yesu bwana wangu
Jina lako liinuliwe

Asante bwana Yesu
Kwa neema yako
Asante bwana Yesu
Kwa fadhili zako
Asante, asante
Asante bwana Yesu
Kwa fadhili zako
Asante bwana Yesu
Kwa neema yako
Asante bwana Yesu
Kwa fadhili zako
Asante bwana Yesu
Kwa neema yako
Asante bwana Yesu
Kwa fadhili zako
Asante bwana Yesu
Kwa neema yako
Asante bwana Yesu
Kwa fadhili zako
Asante bwana Yesu
Kwa neema yako
Asante bwana Yesu
Kwa fadhili zako
(Asante bwana Yesu
Kwa neema yako
Asante bwana Yesu
Kwa fadhili zako
Asante bwana Yesu
Kwa neema yako
Asante bwana Yesu
Kwa fadhili zako
Asante bwana Yesu
Kwa neema yako
Asante bwana Yesu
Kwa fadhili zako)

Nitaimba kwa sauti kubwa
Nitangaze jina lako
Eeh Yesu bwana wangu
Jina lako liinuliwe
Nitaimba kwa sauti kubwa
Nitangaze jina lako
Eeh Yesu bwana wangu
Jina lako liinuliwe

Nitaimba kwa sauti kubwa
Nitangaze jina lako
Eeh Yesu bwana wangu
Jina lako liinuliwe
Nitaimba kwa sauti kubwa
Nitangaze jina lako
Eeh Yesu bwana wangu
Jina lako liinuliwe

Asante bwana Yesu
Kwa neema yako
Asante bwana Yesu
Kwa fadhili zako
Asante bwana Yesu
Kwa neema yako
Asante bwana Yesu
Kwa fadhili zako

Nitaimba kwa sauti kubwa
Nitangaze jina lako
Eeh Yesu bwana wangu
Jina lako liinuliwe
Nitaimba kwa sauti kubwa
Nitangaze jina lako
Eeh Yesu bwana wangu
Jina lako liinuliwe
Nitaimba kwa sauti kubwa
Nitangaze jina lako
Eeh Yesu bwana wangu
Jina lako liinuliwe


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)