Yanga
Harmonize
paroles Harmonize Yanga

Harmonize - Yanga Lyrics & Traduction

Oh oo oooo

Hii hapa sauti ya Konde boy mjeshi
Mtoto wa jangwani timu ya wananchi
Yaani kati kati ya jiji la Dar

Si ndo watoto wa jangwani Yanga Dar Africa
Makombe ya kabatini Hawawezi kufika
Mpira unapigwa chini magoli uhakika
Yaani dakika tisini tumesha watundika

Wanaona donge hao wanyonge
(Wanaona donge hao wanyonge)
Yanga tunaposhinda wanaona donge
(Wanaona donge hao wanyonge)
Wanaona donge hao wanyonge
(Wanaona donge hao wanyonge)
Yanga tunaposhinda wanaona donge
(Wanaona donge hao wanyonge)

Engineer naomba nikutume
Unifikishie salamu
Kwa Dr Msolo na Antonio Lugazi
Ah waambie majirani Yanga sio size yao
Yanga sio size yao, Kabisa!

Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe
Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe
Yanga sio size yao, Yanga sio size yao
Yanga sio size yao, Yanga sio size yao
Yanga sio size yao, Yanga sio size yao

Tupeleke GSM
Watoto wa GSM
Wanangu wa Jangwani


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment