Zombie struck to the neck
Is Konde Boy, call me number one
Let's talk about love, baby
(S2kizzy Baby)
We ndo unanipendeza dunia inajua
Mimi mwenyewe najipongeza najua kuchagua
Na pale ninapoteleza siku litawaka jua
Wakileta jealous na kutubeza ndio ukubwa tunakua
My baby, these girls ain't loyal
Kumbe walitaka pesa nikawapa moyo
Baby iiih, these hoes ain't loyal
Wapenda sufuri nyingi niliwapa moyo
Ni bora ningekupa wewe
Wewe tu, wewe
Upendo ningekupa wewe
Wewe tu, wewe
Tamu yangu ningekupa wewe
Wewe tu, wewe
Muda wangu ningekupa wewe
Wewe tu, wewe
Yaani saa hivi tungeshakuwaga mbali
Utu wangu na thamani yeye pekee ndio anaevijua
Na ndio maana hatuachani wa peke peke mnajisumbua
Utu wangu na thamani yeye pekee ndio anaevijua
Na ndio maana hatuachani wa peke peke mnajisumbua
Uzuri wako unanifanya nijiulize
Kiasi gani mungu alikuaga bize
Sa kwa nini nikuumize
Sa kwa nini nikulize
Neno lako sheria lazima nisikilize
Hakuna anaependa akawa bize
Sa kwa nini nikuumize
Sa kwa nini nikulize
My baby, these girls ain't loyal
Kumbe walitaka pesa nikawapa moyo
Baby iiih, these hoes ain't loyal
Wapenda sufuri nyingi niliwapa moyo
Ni bora ningekupa wewe
Wewe tu, wewe
Upendo ningekupa wewe
Wewe tu, wewe
Tamu yangu ningekupa wewe
Wewe tu, wewe
Muda wangu ningekupa wewe
Wewe tu, wewe
Yaani saa hivi tungeshakuwaga mbali
Is Konde Boy, call me number one
Konde Music worldwide, oh ah
Zombie struck to the neck
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)