Siwezi
Harmonize feat Rayvanny
paroles Harmonize Siwezi

Harmonize - Siwezi Lyrics & Traduction

Yaw, yaw
It's Konde Boy, call me number one
Man of the night
(Kimbambo on the beat)

[Harmonize]
Omukwano mwenzako nishachoka mashindano
Mwili umekonda kilo tano
Punde nitapita tundu la sindano
Natamani nikuelezee how I feel
Vipi nikubembeleze ujue I'm for real (ah)
Nikilewa nafanya vibweka, watu wananicheka
Ila wewe ndo chanzo

[Harmonize]
Mi huku ndani ndani nateseka, moyo umeuteka
Huu sio wimbo, tangazo
Siwezi iih-iih-iih
Mi siwezi iih-iih-iih
Nishajaribu siwezi iih-iih-iih
Mi siwezi iih-iih-iih

[Rayvanny]
Mwenzako picha tu, nikiziona nakwisha boo (boo)
Nasikitika tu, hivi penzi ndo lilikwisha puuh? (puuh)
Nishalia nikanyamaza bado sichoki kukuwaza
Sina wa kuniliwaza, nimeshindwa kujikaza
Shamba nililiachia wapita njia, sasa hivi wanalihudumia
Wamelilimia nakupalilia, hadi mazao yameshachipukia (yeah)
Tulivaa hadi sare sare, couple ilikuwa kale kale
Yaani marafiki wale wale, leo wanakula pale pale
Siamini kwangu ulisepa, huko unanenepa huna hata mawazo

[Rayvanny]
Mi huku ndani ndani nateseka, moyo umeuteka
Huu sio wimbo, tangazo
Siwezi iih-iih-iih
Mi siwezi iih-iih-iih
Jamani siwezi iih-iih-iih
Mi siwezi iih-iih-iih

[Harmonize]
Bado nawaza nini cha kukuhonga
Ukisema uhai kesho mi najinyonga
Ah hizo pozi zako kama kinyonga
Na ni wivuu kwangu kama kidonda

[Harmonize]
Yaw, yaw
It's Konde Boy, call me number one
Bakhresa, ah
It's Konde Music Worldwide
(The Mix Killer)


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)