paroles Guardian Angel Corona

Guardian Angel - Corona Lyrics & Traduction

Tumepigwa na janga duniani ey
Imetutetemesha kama nnchi eeeh

Tujitoe mhanga tupigane na hili janga
Tufunike midomo tupigapo chafya
Tu-sanitize

Tujitoe mhanga tupigane na hili janga
Tufunike midomo tupigapo chafya
Tuoshe mikono

Jichunge mwenyewe na uwapendao
Jamii yakuhitaji, nchi yakuhitaji, dunia yakuhitaji
Jichunge mwenyewe na uwapendao
Jamii yakuhitaji, nchi yakuhitaji, dunia yakuhitaji

Quarantine, sanitize, social distance
Kwa mda mchache najua tutashinda

Friends, we live in uncertain times
That's why the government is urging all of us
To protect ourselves stay safe
Social distancing and hand washing

And please look about what the government is saying
About how you should actually wash your hands
5 times a day, 10 times a day infact as many times as you can
The government is requesting that you take extraordinary measures

To safeguard yourself
To safeguard your families
To make sure that all of us work together
To protect our country and our people


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)