We nikune mgongo we
Kichwa mabega kisogo we
We nikune mgongo we
Kichwa mabega kisogo we
Nakupenda ta gui (Ta gui)
Nakupenda ta gui (Ta gui)
Nakupenda ta gui, ta gui, ta gui, ta gui (Ta gui)
Nakupenda ta gui, ta gui, ta gui, ta gui (Ta gui)
We nikune mgongo we
Kichwa mabega kisogo we
We nikune mgongo we
Kichwa mabega kisogo we
Nakupenda ta gui (Ta gui)
Nakupenda ta gui (Ta gui)
Kanapenda hizi vitu ta gui
Vile kameiva ta gui
Kanataka tabia mbaya
Stero anataka burden ya magui
Mapesa tuko nayo Dr Moshi
Vile sisi hubeba hizi chuma za doshi
Na kila ngeus area anataka tushoshi
Chali ni mchungli nakutoa moshi
Ta goma, ta gathia, ta vathia pararira
Mwaria sagaria korofia
Ananionanga analia, mama ya watoto my dear
Angalia smarter ena bia, akitupa rada hapa anaibiwa
(Akitupa rada hapa anaibiwa)
We nikune mgongo we
Kichwa mabega kisogo we
We nikune mgongo we
Kichwa mabega kisogo we
Nakupenda ta gui (Ta gui)
Nakupenda ta gui (Ta gui)
Nakupenda ta gui, ta gui, ta gui, ta gui (Ta gui)
Nakupenda ta gui, ta gui, ta gui, ta gui (Ta gui)
Tumekutana jana, ukasema unanipenda sana
Manze na sikujui jina, ka ni pesa ujue sina
Usinifuate kama hauchangii
Usinifuate wewe kama hauchangii
Hauchangii pombe hukunywi (Hukunywi)
Hauchangii keroma hukuli (Hukuli)
Hauchangii pombe hukunywi (Hukunywi)
Hauchangii keroma hukuli (Hukuli)
We nikune mgongo we
Kichwa mabega kisogo we
We nikune mgongo we
Kichwa mabega kisogo we
Nakupenda ta gui (Ta gui)
Nakupenda ta gui (Ta gui)
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)