Mtanimiss miss tayari natema
Dogo Sillah mi natokea Botema
Japo wengi wanasema mi naringa
Aah ni ujinga
Natoa sumu kali kama kaba koo
Mi ni simba sishindani na mokoko
Kipenzi changu si cha kudownload
Niko fit, niko hit matetemeko
Hili ngoma litawabamba chii
Limewabamba?
Wakiniona wanatetemeka
Wanataka nduki mi ndio bunduki
Tena tinga linapita hilo
Kaa mbali litakugonga hilo
Kaa mbali litakugonga hilo
Natimua, timua
We timua, timua (Aiyayaya...)
Natimua, timua
We timua, timua (Aiyayaya...)
Sishindani nao
Mlowabeba kwenye show
Wala sifanani nao
Mi ndo kiboko yao
Kwenye vigingi napita
Mkiweka na mitego nategua
Kwanza mi nishawapita
Hata nje ya TZ nimepasua
Cheza kama Yope (Ka yope)
Na wakora walete (Walete)
Ukuti ukuti (Wa nazi wa nazi)
Wenzetu wenzetu, (Wamegongwa na gari)
Basi cheza kibasikeli (Hivii!)
Sangulo (Hivii!)
Chaza kishaku shaku (Hivii!)
Ngololo
Hili ngoma litawabamba chii
Limewabamba?
Wakiniona wanatetemeka
Wanataka nduki mi ndio bunduki
Tena tinga linapita hilo
Kaa mbali litakugonga hilo
Natimua, timua
We timua, timua (Aiyayaya...)
Natimua, timua
We timua, timua (Aiyayaya...)
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)