Am sorry mama
Kwanza naanza kwa kukupa shikamoo
Za siku nyingi
Si nyumbani tupo salama
Najua, wewe na daddy mna ugomvi
Ila mimi hainihusu
Nachokuomba urudi nyumbani
Japo daddy hakuniambia (We mama)
Ila mimi nimekujua (We mama)
Nayo picha inaongea, mama
Hivi kweli uloniambia (We mama)
Hujawahi hata kulea (We mama)
We mwenyewe unalelewa (We mama)
Hapana
Mi nakosa la kufanya
Mawazo juu yako
Nikitazama picha yako ni wewe
Ni wewe, ni wewe, ni wewe mama
Ni wewe, ni wewe, ni wewe mama
Ni wewe, ni wewe, ni wewe mama
Ni wewe, ni wewe, ni wewe mama
Ni wewe!
Yaani nikikutazama
Na kwenye picha ni yule yule
Ina maana unanikana
Elewa mimi mwanao
Kama makosa mwanadamu tumeumbiwa
Rudisha moyo wako nyuma
Urudi kwa baba
Kupika mwenzako nimechoka
Madeko wenzangu wanapata
Hata kama nimekufananisha
Nakuomba wewe uolewe na baba
Mi nakosa ya kufanya (We mama)
Mawazo juu yako (We mama)
Nikitazama picha yako ni wewe (We mama)
Ni wewe, ni wewe, niwewe mama
Ni wewe, ni wewe, niwewe mama
Ni wewe, ni wewe, niwewe mama
Ni wewe, ni wewe, niwewe mama
Ni wewe!
Japo daddy hakuniambia (We mama)
Ila mimi nimekujua (We mama)
Nayo picha inaongea, mama
Hivi kweli uloniambia (We mama)
Hujawahi hata kulea (We mama)
We mwenyewe unalelewa (We mama)
Hapana
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)