Moto umewaka tena, wa kuzima sioni
Wakuzima sioni
Si mnanijua vyema, mi ndo bingwa ulingoni
Mi ndo bingwa ulingoni
Sillah komando, Sillah toka Mwanza
Sishindani na watoto zao
Double to double, jino kwa jino
Alafu msela anawapiga bao
Wananiita Dogo Sillah kiboko yao
Nishabonyeza kidude acha ile kwao
Tena sumu kwa chakula chao
Nikila shekete mi napiga bao
Mwanzo naipeperusha
Tunaruka viwanja kama matuta iyee
Hakuna wa kunishusha
Kabariki mwenyezi sina pupa
Tunakazana tu iyee iyee
Yaani watu hawatupati, uoo uoo
Tunakazana tu iyee iyee
Yaani hawatupati, uoo uoo
Niite fire on iron wala siogopi hasara
Njoo tutumie mtaji nikupe na zako fight
Mi ndio super gentlemen kiongozi wa mabitozi
Nayemiliki maseme kama mnabisha semeni
Niko juu zaidi ya Mr Blue
Nimebakisha kidogo tu kumfikia Chibu
Watoto wakali wanadata na mimi huamini
Wanadata na Sillah anawachezesha adudu
Adu adu, adu dunda
Cheki moyo unavyodunda
Mwanzo naipeperusha
Tunaruka viwanja kama matuta iyee
Hakuna wa kunishusha
Kabariki mwenyezi sina pupa
Tunakazana tu iyee iyee
Yaani watu hawatupati, uoo uoo
Tunakazana tu iyee iyee
Yaani hawatupati, uoo uoo
Niko juu zaidi ya Mr Blue
Nimebakisha kidogo tu kumfikia Chibu
Watoto wakali wanadata na mimi huamini
Wanadata na Sillah anawachezesha adudu
Adu adu, adu dunda
Cheki moyo unavyodunda
Mwanzo naipeperusha
Tunaruka viwanja kama matuta iyee
Hakuna wa kunishusha
Kabariki mwenyezi sina pupa
Tunakazana tu iyee iyee
Yaani watu hawatupati, uoo uoo
Tunakazana tu iyee iyee
Yaani hawatupati, uoo uoo
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)