Dogoli
Country Boy
paroles Country Boy Dogoli

Country Boy - Dogoli Lyrics & Traduction

I,am taking on and going high
My nigga bado sina wengi
Leta vitu, far nidrive, 
Madiga wanataka ni bang bang
Pande zote na bang bang
Game na bro na my gang gang

Na kaba koo  kwenye ngoma zao
Tuna kill the show kama chain chain
So who the f** you think you know me(think you know me)
Go get the mulla mama told me(mama told me)

The lord horse is what they call me
Namuua nyani simtazami usoni
If you ain't 'bout money, you ain't know me
Pesa inafanya toto ilambe koni
Kutoka kwa hood, mpaka kwa wanangu wa chuo kikuu
Na mwaka huu, wote tunataka kuenda juu
(juu juu juu juu juu juu)

Washa dogoli, washa washa washa washa washa
Washa dogoli, washa washa washa washa washa
Washa dogoli, washa washa washa washa washa
Washa dogoli, washa washa washa washa washa

Muda ni mchache, mambo ni mengi bado napindua pindua
Kilicho na nanda, mi nakuona kama unazingua zingua
CountryBoy ukifanya ugomvi, nalipua lipua
Kutoka Dar, mpaka Down me nakisanua sanua

Mungu ananionyesha miujiza 
Nyie endeleeni kuigiza
Nang'aa mpaka kwenye giza
Bongo kam walahi yoh bila viza

If you ain't bout money, you ain't know me
Pesa inafanya toto ilambe koni
Kutoka kwa hood, mpaka kwa wanangu wa chuo kikuu
Na mwaka huu, wote tunataka kuenda juu
(juu juu juu juu juu juu)

Washa dogoli, washa washa washa washa washa
Washa dogoli, washa washa washa washa washa
Washa dogoli, washa washa washa washa washa
Washa dogoli, washa washa washa washa washa

Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment