Kitu gani kinitenge nawe Yesu
Kitu gani kinitoe kwako
Je ni dhiki sikuja na kitu duniani
Je ni uchi nalizaliwa uchi
Je ni njaa wengine wanakufa nayo
Hakuna cha kunitenga nawe
Kitu gani kinitenge nawe Yesu
Kitu gani kinitoe kwako
Je ni dhiki sikuja na kitu duniani
Je ni uchi nalizaliwa uchi
Je ni njaa wengine wanakufa nayo
Hakuna cha kunitenga nawe
Nishike mkono Mungu wangu
Nishike mkono nakukimbilia
Usiniache Mungu wee
Usiniache nakukimbilia
Nishike mkono Mungu wangu
Nishike mkono nakukimbilia
Usiniache Mungu wee
Usiniache nakukimbilia
Nishike mkono Mungu wangu
Nishike mkono nakukimbilia
Usiniache Mungu wee
Usiniache nakukimbilia
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)