(KingPheezle on the beat)
Yeah skiza!
Mi kama brathe niko na siste
Mshike nitakutolea toa ya rithe
Ushai kunywa panadol after kibare
Mwenye ulibaka anaitwa Mbaire
Usijiforce kwa mwanamke
Ju mwanamke ni mama yako
Na bibi yako ni mali yako
Chunga mali yako funga padlock kwa matak
Alenjadro, Murasta
We ndo queen hakuna matata
Story yako yenye ulituleta hapa
Walikubaka pole sana (Asanti)
Moyoni nina uchungu hasira
Mbona mnabaka wadada
Moyoni nina uchungu hasira
Na sisi jamii imedharau
Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah
Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah
So sad na hii kesi ninajam tu
Ignorance ni ka society imefyatu
Ka unaeza dare fanya rape bila kucare
Heshima ya mama yako alredy ishatokomea
Mi naona execution ndio solution ama jea
Kusundwa jela ni siku za mwizi tunaongezea
Brutaly ukashika Mwikali
Ukashika Valerie na ukashika Natalie
Ukashika Nyambane na ukashika Mwane
Uka shika pia ule boy OG ana janje
Nishakuwa falsely accused kwanza na fala
Motherfucker, brotherfucker, fatherfucker
Moyoni nina uchungu hasira
Mbona mnabaka wadada
Moyoni nina uchungu hasira
Na sisi jamii imedharau
Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah
Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah
Hata mbuzi ni mwerevu kushinda rapist
Be the voice, be the noise
Yaani kuwa na sauti pahali hakuna sauti
Nimekuja na mishale mi narusha
Na nimekuja kuhakikisha nimewaua
Na mi ndo yule manzi nakuwanga nimejiskia
Mi nataka victims wote wasimame
Tumia sauti yako tumalize hii ukame
Gathee gathee usinitoe pantie
Brathe brathe heshimu huyo auntie
Brathe unahitaji pussy permit
Paka permit yaani uingize ndani
Moyoni nina uchungu hasira
Mbona mnabaka wadada
Moyoni nina uchungu hasira
Na sisi jamii imedharau
Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah
Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)