Chorea
Benzema
paroles Benzema Chorea

Benzema - Chorea Lyrics & Traduction

Chorea chorea galdem morea
Na ni peng ng'orea mi siwezi chorea
Chorea chorea cap date orea
Thembere orea mi siwezi chorea

Chorea chorea galdem morea
Na ni peng ng'orea mi siwezi chorea
Chorea chorea cap date orea
Thembere orea mi siwezi chorea

Ati potty, unakam na potty
Leo unapanga kumwaga the njoti kama noti
Aunty Njoki beba ile nyongi
4:20 mi na matha hutwanga mamoshi

Sare doni, heri ata unyonji
Heri hata umbao ubebe CD ndani ya koti
Basi slowly, chuma haidai stori
Booty call imetoka town ya Migori
Alejandro orea anawai daily

Galdem morea
Na ni peng ng'orea mi siwezi chorea
Chorea chorea cap date orea
Thembere orea mi siwezi chorea

Chorea chorea galdem morea
Na ni peng ng'orea mi siwezi chorea
Chorea chorea cap date orea
Thembere orea mi siwezi chorea

Napenda yengz, sipendi games
Me hupewa face na shawty si lames 
And again,
Ukihate hakuna kitu una gain
Shawty wako second base ooh
Hah! Shawty wako sikimbizi
Wiki mbili tusha Jiggy Jiggy 
Ndizi biggy mimi sitishiki
Sishikiki, na nakula paka kama mishikaki
Ka si pesa baby tena me sitaki
Nina taki ya akina Taty
Akina Keti me waliniseti

Galdem morea
Na ni peng ng'orea mi siwezi chorea
Chorea chorea cap date orea
Thembere orea mi siwezi chorea

Chorea chorea galdem morea
Na ni peng ng'orea mi siwezi chorea
Chorea chorea cap date orea
Thembere orea mi siwezi chorea

Usifiche haga ndani nadai puthy
Prophet Owour kwangu ni adui
Na madredi nimesuka hadi fudhi
Shosho wangu ana mbio kama chui

Wachanga wachanga wachanga ujuzi
Ubongo yangu ndani imejaa upuzi
Reception ya harusi tunakunywa uji
Tunachoma kolo tukitumia kuni

Kss kss kss, usiitike
Kama una deni usijifiche


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)