Unanichora
Ben Pol
paroles Ben Pol Unanichora

Ben Pol - Unanichora Lyrics & Traduction

ahhhhiiii
haaaahiiiiii
heeeiii heeii heei

wabaya wote waliosema we hufai
nikikutana nao wananionea nishai
natamani niseme bye bye
mpenzi wangu we ndo uliyenifanya nijidai
najua hawapendi kutuona
natena hawataki kusikia
najua wajua tulipoanzia
nakuomba ubaki shikilia
najua
hawapendi kuona uko na mii
na wanasema mengi ili we uniache mii
hasa kwa nini mpenzi unakaa naooo
wao hawapendi kuona uko na mii
na wanasema mengi mradi we uniache mii
hasa kwa nini mpenzi unaongea naoooo ooh
oohhh ohh ohh oohh ohh oh oh
kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma na kuniona bwege
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma na kuniona bwege
ehh
yeaaahh mhh
heehii mhh
Mama baba yereeeeee
Mama baba yereeeee
Utulie home nakupa vitamu
Usinitenge nazi kama embe la msimu
Utulie home nakupa vitamu
Na me nikulinde nizidi pata utamu
Najuaa Hawapendi kuona uko na me
Na wanasema mengi mradi uniache mimi
Hasa kwanini mpenzi unakaa naooo
Wao Hawapendi kuona uko na me
Na wanasema mengi mradi uniache mimi
Sasa kwanini mpenzi unaongea naoo
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma kuniona bwege
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma kuniona bwege
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma kuniona bwege
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma kuniona bwege

Yere zere zere ehh
yere zere zere ehh
yere zere zere ehh
yere zere zere ehh


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment