Shusha
Baba Levo
paroles Baba Levo Shusha

Baba Levo - Shusha Lyrics & Traduction

Ni salama angamizo
Pisha maana matatizo
(It's S2kizzy beiby)

Nawashusha, Shusha ! Shusha !
Nawashusha, Shusha !
Nawashusha, Shusha ! Shusha !
Nawashusha, Shusha !

Wapo top 10, Shusha ! Shusha !
Wapo on trend, Shusha !
Wapo top 10, Shusha ! Shusha !
Wapo on trend, Shusha !

Nawashusha, Shusha ! Shusha !
Nawashusha, Shusha!
Ona nawashusha, Shusha! Shusha!
Nawashusha, Shusha!

Wanataka shindana na Simba (Shusha shusha)
Washindane na Dangote? (Shusha)
Wakati bado makinda (Shusha shusha)
Mie maji wao tope (Shusha)

Eeh waulize wamesikia (Wapi?)
Panya kula paka (Wapi?)
Nasema wamesikia (Wapi?)
Kibogoyo akang'ata (Wapi?)

Waambie choche
Hili choche watu hawapitagi
Hee waambie choche
Sema vyoko tulianzishe vadi

Nawashusha, Shusha! Shusha!
Nawashusha, Shusha!
Nawashusha, Shusha! Shusha!
Nawashusha, Shusha!

Wapo top 10, Shusha! Shusha!
Wapo on trend, Shusha!
Wapo top 10, Shusha! Shusha!
Wapo on trend, Shusha!

Nawashusha, Shusha! Shusha!
Nawashusha, Shusha!
Ona nawashusha, Shusha! Shusha!
Nawashusha, Shusha!

Tumewapa nafasi kidogo 
Wameanza kuleta dharau, Shusha!
Wameshika visenti kidogo
Wanapanda mpaka dharau Shusha!

Wamejisahau Shusha!
Wanaleta dharau Shusha!
Mimi napiga collabo na simba Shusha!
Wewe kapige na nyau Shusha! Shusha!

Nazidi kushusha mangoma 
Mpaka waseme "Baba ni noma"
Na bado nitawapa homa 
Mpaka waseme "Tumeshakoma"

Maneno yanavyowachoma
Mpaka waseme "Rudi Kigoma"
Na wameshameza ndoano 
Mpaka wateme "Shusha"

Nawashusha, Shusha! Shusha!
Nawashusha, Shusha!
Nawashusha, Shusha! Shusha!
Nawashusha, Shusha!

Wapo top 10, Shusha! Shusha!
Wapo on trend, Shusha!
Wapo top 10, Shusha! Shusha!
Wapo on trend, Shusha!

Nawashusha, Shusha! Shusha!
Nawashusha, Shusha!
Ona nawashusha, Shusha! Shusha!
Nawashusha, Shusha!

Wanaporomoka aaii 
Moja moja chali chini Shusha! Shusha!
Wanadondoka 
Moja moja chali chini 

Wanaporomoka Shusha!
Moja moja chali chini 
Wanadondoka, Shusha! Shusha!
Moja moja chali chini 

Chapa chapa (Chapa!)
Sasa chapa (Chapa!)
Tia bakora (Chapa!)
Hawana adabu (Chapa!)

Chapa chapa (Chapa!)
Wanangu chapa (Chapa!)
Tembeza mboko (Chapa!)
Hawana adabu (Chapa!)


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment