Nishazama
ABBAH
paroles ABBAH Nishazama

ABBAH - Nishazama Lyrics & Traduction

Mmmmmh mmh (Abbah)
Baby baby baby eh
Unafeel aje baby baby eh
Niambie niambie niambie
Umeshindaje niambie niambie

Ah niongeze niongeze mapenzi dawa
Wanasema umeniroga mi kwako zoba sawa
Nidekeze nidekeze ili penzi walikome chawa
Hata wakisema umeniroga, sawa

Usinitende vitu sio
Kwani mi mwenzio kwako we ni kiwete
Ah taabani mi mwenzio
Siuwezi upweke

-


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment