Tout Le Monde
Weusi
paroles Weusi Tout Le Monde

Weusi - Tout Le Monde Lyrics & Traduction

Ushanipata (Greenlight)
Nishakupata (Greenlight)
Tunajikata
Tout Le Monde, everybody
Tout Le Monde, everybody

Ushanipata (Greenlight)
Nishakupata (Greenlight)
Tunajikata
Tout Le Monde, everybody
Tout Le Monde, everybody

Mi shida kashindwa shetani
Kidole nishaweka kidani
Makeke zaidi Zedane
Harusi naita nyumbani

Nikki sinapo mama anapo
Depo tumetoka tumekula kiapo
Ni sisi hapo mizizi hapo
Ndoa vile tamu kamuulize Gnako

Ushanipata (Greenlight)
Nishakupata (Greenlight)
Tunajikata
Tout Le Monde, everybody
Tout Le Monde, everybody

No no no no no tule monde mpaka kuche
Mo mo mo mo mo, more vyombo turauke

Alishanipa keys I go swizz wana
Kiss me tease me a prisoner
Easy saa hizi nachizi ona
Mafake achana nao hatureason nao
Kamatia njia, kamatia nia
Hapa nakazia ninachokuambia

Ushanipata (Greenlight)
Nishakupata (Greenlight)
Tunajikata
Tout Le Monde, everybody
Tout Le Monde, everybody

Ulishabadilika mchezo toka uliponibamba
Usije choma picha ukaona mwamba kaa kijanja
Visa visa ni normal, maisha yabisha vinono
Hatufiki kikomo, bata refu shinda bata ya kati
Aii mama, aiii, bata refu shinda bata ya kati
Watu serebuka, serebuka

Tout Le Monde, everybody
Tout Le Monde, everybody


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)