Kamata Toto
Weusi
paroles Weusi Kamata Toto

Weusi - Kamata Toto Lyrics & Traduction

Kamata toto, pale pale
Anapopenda, pole pole
Kamata toto, pale pale 
Ikizama imezama baba

Nikishalima nakula tunda shambani
Nikishavuna nalipeleka nyumbani
Likikolea naoa naweka ndani
Sinoi panga kuchunga kuku bandani

Le Mufasa! Li king la jungle
Walimanya, sicheki na panya
Kucheka nao watakuja kutuchanganya 
lfunanya baby mama la mama
Eeiya hakuna madrama

Kamata toto, pale pale
Anapopenda, pole pole
Kamata toto, pale pale 
Ikizama imezama baba

Kama kama kama kama kama...

Kamata toto, pale pale
Anapopenda, pole pole
Kamata toto, pale pale 
Ikizama imezama baba

Niko chini yake kama chaga na kitanda
Si tumeshikana kama mbezi na kibamba
Sio kushika shika sisi watu wa kubamba
Lord sarakasi sitishiki na misamba
Napita peke yangu njia nyembamba
Mjini, mangi bado nakichanga
Simsimangi wala kumnanga
Yeye kwangu bado ni kichanga

Kamata toto, pale pale
Anapopenda, pole pole
Kamata toto, pale pale 
Ikizama imezama baba

Hii nyama yangu
Nimeipata ka teni tela
Hii ndaba yali
Ninavyozikata kama bank teller

Napiga rungu kipepe pepee
Napiga nyungu ni tepe tepee
Nakata waya vicheche chechee
nakata mbaya mambo ya kete

Mama twende shopping ama designer
Na si makopa kopa maneno China
Vile tumetoka, unawasigina (Say what)
We pop bottles, mama mimina

Wakileta battle nakuwamimina
No childish bid daddy
Jitu la kazi bob daddy
Bad girl, me nakula vyote na 
Sina pupa so na
Kamata toto, pale pale
Anapopenda, pole pole
Kamata toto, pale pale 
Ikizama imezama baba

Kama kama kama kama kama...

Kamata toto, pale pale
Anapopenda, pole pole
Kamata toto, pale pale 
Ikizama imezama baba

Indaba yali, indaba yali
Ninavyozikata kwa bank teller


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)