Pisi Kali
P MAWENGE
paroles P MAWENGE Pisi Kali

P MAWENGE - Pisi Kali Lyrics & Traduction

Kama unajijua we ni mpendapenda shobo za kijinga
Kushobokea machizi wenye mapesa na ndiga
Ili uazime kesho mitaani uanze kuvimba
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
Hutulii kila kukicha uko live Insta, Snapchat
Unajipigapiga ma filter unameremeta sana kidume mpaka unaita
Oya we sio mwanaume  mwana we ni pisi kali
Kwenu choka mbaya ndo umewakimbia wazazi
Jumba lenu bovu we unalala kwa washikaji
Unalisha, unavishwa hautaki kutafuta kazi
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
Party za wana we unafosi kualikwa
Mara umeshika Hennessey ili upige nayo pichia
We ndo unarusha kununa sigaramashisha
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali

Mtaani unajigamba wakati, unakaa kwa demu
Akija basha wake we wanakuwa shia game eti king'asti wake
Yani you don't feel shame
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
Kidume hunywi konyagi we unakunywa savana
Na marafiki zako wengi wao wasichana
Ukiagiza chipsi eti isikauke sana
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
Unaweka pozi kwenye picha umebinu midomo
Kidume ngozi yako laini kama konokono
Mwana huchapi mademu sabadu unaogopa gono
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
Ni vipi dume zima unatumia vipodozi
Unaimba nyimbo za nandy kuliko za nyandu tozi
Ukitishwa eti braza huyu hapa mchokozi
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali

Umenpeleka demu wako cutting master kunyoa
Kapendezeshwa katoka vizuri yuko poa
Unaletewa bili ndogo unashidwa kutoa
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
Wanaume gani upo mtadoani kila moment
Kazi kuchambana na mademu kwenye comment
(Kwani ina huu Dada nakwombaunikome)
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
Mchizi umekamilika ila unapenda kuhudumiwa
(Oya weita leta biaa)
Mwana kisa unalipipwa
Braza eeh na kesho bata wap linaliwa
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
Kidume geto umetandika shuka la maua
Niga mwenzio we unamwita daddy unazingua
(Mademu wanashoboka)
Wakati unajichua
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
We we we ni pisi kali
Oya we sio mwanaume mwana we ni pisi kali

Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment