Magufuli
Nuh Mziwanda
paroles Nuh Mziwanda Magufuli

Nuh Mziwanda - Magufuli Lyrics & Traduction

Tutakukumbuka, tutakukumbuka oh Magu
Rais wetu roho ya kufanya makubwa
Mungu baba akulaze mahali pema
Inalia dunia sio tu Tanzania uhai umekwenda
Bali hatukuoni tena Rais wetu jembe Tanzania

Every step I take, every move I make
Every single day, everytime I pray
I'm missing you

Thinking of the day when you went away 
What a life to take, what a bond to break
I'm missing you

Watu wanasema kwamba
Ukiwa na kitu huwezi jua dhamani yake
Lakini kikiondoka ndo unajua dhamani yake
Magu, I miss you 

Every step I take, every move I make
Every single day, everytime I pray
I'm missing you

Thinking of the day when you went away 
What a life to take, what a bond to break
I'm missing you


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment