Nakupenda
Nini
paroles Nini Nakupenda

Nini - Nakupenda Lyrics & Traduction

Umenipa heshima, umenipa upendo
Kuwa nawe neema nimebadili mwenendo
Umefanya nimekua kifikra kiakili
Nimejua lipi baya na lipi nzuri mie
Nimetegua penzi kitendawili
Nimegundua ya ndani ni siri

I will love forever
Niwe nawe kwenye hali nzote
And am love forever
Niwe nawe siku zote

Mi nakupenda, nakupenda
Mi nakupenda, nakupenda
Mi nakupenda

Watafurahi nyumbani 
Akina daddy na mami
Kiukweli si utani
Nimefika kwako

Nimejawa imani 
Hata waseme nini
Waje na majirani 
Siku ifikapo

Naomba na dua nibadilike jina
Niwe mama fulani
Nyumbani unipe heshima 
Nilootaga zamani

I will love forever
Niwe nawe kwenye hali nzote
And am love forever
Niwe nawe siku zote

Mi nakupenda, nakupenda
Mi nakupenda, nakupenda
Mi nakupenda

Mi nakupenda, nakupenda
Mi nakupenda, nakupenda
Mi nakupenda

(FreeNation)


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment