Are You Stupid?
Natty (AF)
paroles Natty (AF) Are You Stupid?

Natty (AF) - Are You Stupid? Lyrics & Traduction

Tulimash up works back then
Sai tuko chilling
Wanaogopa kuja hizi ends
Samorai Jackie machine appealing

Hao manigga wako tu kwa booth
Ni ma marvin gay, sexual healing
Ndani ya keja nimejaza mathao
Na hakuna mtu anaguza

Mi na aim for the killing
Mi na aim for neat na aim for the chest
Bash imechrome Two chwani
Hennessy ilimwagwa kwa mzinga ya Best

Gizani bado niko rotejo
Na ma3 niko na bad intent
Na hizi shots zinakam tu tatu
Arianna Grande Thank You Next

Hao mambleina walisahau mi ni flight trace
Kumbe ni ma Airforce One
Kibuyu imejaa tu ratish
Mwagia chrome mbili ona mbogi ikikam

Last week nilikuwa na pum pum
This week nitapull up na flat
Nikiwa ni up by force namching this week
This week tuko deep watajua tumejam

Mbwa na mnabonga upuzi
How can the man talk worse
Tulikuwa tuna operate kwa hio block tu juzi
Even though wanna mess with us

Kuja na gas, are you stupid?
Niko na paygun ting haga iko missing
Lakini sura ni ya blueticks kuja na smoking turn
Unageuzwa vumbi

They wanna be like us okey
44 splashing block na spray
Dem ako juu ya hii kitu
Lakini niko njing so itabidi nimedelay

GTA those are my bro my brejin
Back up your marshall si grey look slay
Sema how many times tu how many days
Lakini lakini bado inspray

Pull up na gang usiku
Risktakers bado mko bluffing
Unajileta na bad intention
Toa hio strap and let's see who is laughing

Niko na list nadai kucross ya hao mambleina
Ma wannabe Natty
Tukiongelea does tumefanya
Itabidi tire ka mbao zimelandi

Yoh wachukue tu notes
Ching ching huyo boy at random phantom
Namgeuza tu ghost
Tulihitaji riss gun nne
Bro amzamishe ama mimi nimfold
Nilimwambia ainue mkono
Huyu malaya anadhani ni kupost

Hata adi East wanajua mi ndo boss
Like check the stats
Mko mtu five na sio maroon na bado mnayap
Kutudiss hio ni taboo
Two goat goat ina diss straight facts
Walijaribu kutu ambush
Bro alikuwa kando akachajwa hio clap

Mbwa na mnabonga upuzi
How can the man talk worse
Tulikuwa tuna operate kwa hio block tu juzi
Even though wanna mess with us

Kuja na gas, are you stupid?
Niko na paygun ting haga iko missing
Lakini sura ni ya blueticks kuja na smoking turn
Unageuzwa vumbi

They wanna be like us okey
44 splashing block na spray
Dem ako juu ya hii kitu
Lakini niko njing so itabidi nimedelay

GTA those are my bro my brejin
Back up your marshall si grey look slay
Sema how many times tu how many days
Lakini lakini bado inspray

They wanna be like us okey
44 splashing block na spray
Dem ako juu ya hii kitu
Lakini niko njing so itabidi nimedelay

GTA those are my bro my brejin
Back up your marshall si grey look slay
Sema how many times tu how many days
Lakini lakini bado inspray


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment