Watu Wake
NaiBoi
paroles NaiBoi Watu Wake

NaiBoi - Watu Wake Lyrics & Traduction

Nawatu wake, ha achi watu wake 
Sir jah na watu wake, ha achi watu wake
Mungu na watu wake, ha achi watu wake
Oooh watu wake, ha achi watu wake

Matha fulani amekopa pesa fulani
Achangishe alishe watoto wa jirani
Buda fulani ametoka biz fulani
Na worry yake ni asibambwe na ma-Askari
(Some don't protect and serve no more)

Kuna Ras Fulani amekamatwa na mume wa Fulani
Excuse ya bibi ni mavijana hawalalangi (Omollo jamach)
(Oh randa inapigwa safi bro)

So what is love 
Question mark when its right there on your face
So what is love 
Question mark when its right there on your face
On your face.

(Iriz waririz)

Watu wake, haachi watu wake 
Mungu na watu wake
Ha achi watu wake
Sir jah na watu  wake 
Ha achi watu wake
Mungu na Watu wake 
Ha achi watu wake

Iriz waririz 
Iriz waririz

Nigga Fulani amevuka na kashamba ya fulani
Na ana kana mbele ya chi hadharani
Manzi Fulani amekula fare fulani 
Navile boi child amejipanga hapa nyumbani 
(Tusidanganyane yoo)

Najua kura fulani 
Zitapigwa na watu fulani
Oh matokeo its onesha mtu fulani
(Nika hatuna say no more)

So what is love?
Question mark when its right there on your face
So what is love?
Question mark right there on your face

(Iriz waririz)

Watu wake


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment