Stretchmarks Kwa Haga
LIL MAINA
paroles LIL MAINA Stretchmarks Kwa Haga

LIL MAINA - Stretchmarks Kwa Haga Lyrics & Traduction

Wolan, woya woya woya
Whatagwan, whatagwan bro
Ka uko na stretchmarks kwa haga
Hii ni ngoma ni ngoma yako bro
Ka uko na stretchmarks kwa haga, haga

Niko na, niko na what?
Niko na what? Woah woah (Woo woo)

Niko na stretchmarks kwa haga (Haga)
Niko na stretchmarks kwa haga (Woo)
Niko na stretchmarks kwa haga (Haga)
Niko na stretchmarks kwa haga (Woo)

Niko na what? Hey yeah
Niko na stretchmarks kwa haga
Niko na stretchmarks kwa haga
Niko na stretchmarks kwa haga

Manzi yako yusema nambamba
Ju niko na stretchmarks kwa haga
Alisema hajui kufanya mao
Lakini anamjua kuchora saba

Manzi yako buda ni kahaba
Buda anakunywa kahawa
Ju niko na what?
Ju niko na stretchmarks kwa haga

Ukinitafuta nipate Namanga
Manzi yako nammanga
Hey why? (Woah!)
Venye naspit mtadhani niko ngwai

Mum tebu pika mayai
Ndio niteremshe na chai
Buda unajua zimawai
Na kunanuka njoti why?

Buda anajua ana
Najuana na Joan Kubai
Hio nyumba naeza ibuy
Na jaba mbili, njoti mbili na Sprite
Baby bado sikudai, true story walai

Ju niko na stretchmarks kwa haga (Haga)
Niko na stretchmarks kwa haga (Woo)
Niko na stretchmarks kwa haga (Haga)
Niko na stretchmarks kwa haga (Woo)

Niko na what? (What? What? What?)
Niko na stretchmarks kwa haga
Niko na stretchmarks kwa haga
Niko na stretchmarks kwa haga

Stretchmarks kwa haga hazifai
Buda nipate Dubai
Utapata nimechill masai
Saa za kuondoka ni sai

Hey, walai
Buda mi humkula ka fruit
Namkula kama paipai (Healthy)
Please do not waste my time

Bado nawave bye bye
Akina -
Buda niko high
Kitambo nilikuwa nimenona
Sikuhizi buda nimenona
Ju ya nini? Ni ju ya mangwai za Dandora
Mresh wangu ni Wilbroda
Rende Rong pigwa Baroda
Yeah yeah, Wilbroda, Wilbroda yeah

Stretchmarks kwa haga
Stretchmarks kwa haga
Morara nyolewa kipara
Manzi yako  ni swara
Kimbia ako na mia
Mpatie change sikia

Stretchmarks, Stretchmarks
Stretchmarks kwa haga


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment