Maneno yako Mungu, yananifurahisha
Unaposema niite nitaitika
Nikuonyeshe mambo makuu
Ambayo hujaiona
Niite nitaitika
Nikuonyeshe mambo makuu
Ambayo hujaiona
Rehema zako Yesu
Zinanifuata mimi
Unaposema
Niite nitaitika
Nikuonyeshe mambo makuu
Ambayo hujaiona
Niite nitaitika
Nikuonyeshe mambo makuu
Ambayo hujaiona
Naona ukijibu
Maombi yangu Yesu
Unaposema
Niite nitaitika
Nikuonyeshe mambo makuu
Ambayo hujaiona
Niite nitaitika
Nikuonyeshe mambo makuu
Ambayo hujaiona
Niite nitaitika
Niite nitaitika
Niite nitaitika
Niite nitaitika
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)