GO Gaga
Lava Lava
paroles Lava Lava GO Gaga

Lava Lava - GO Gaga Lyrics & Traduction

Abbaa!
Ana jicho la kukonyeza na
Mikogo ka Shakira mmmh
Nyuma mkia pweza
Shepu  Catarpilar
Mechi tunazozicheza
Kitandani fundikila mmh
Ameniweza Napumua kwa mipira

Tenaa kiuno laini chuchu dodo dodo
Kitovuni kipini mtoto jojo  jojo
Hafai dela kimini nyuma lojo lojo
Katoto ndizi maini yani sotojo tojo

Aaaah go gaga (ah eh)
Fanya kama unataga (ah eh)
Tuzivunje chaga (ah eh)
Ongeza mazaga zaga (ah eh)
Aaaah go gaga (ah eh)
Fanya kama unataga (ah eh)
Tuzivunje chaga (ah eh)
Ongeza mazaga zaga

Basi waonyeshe waone, waone
Basi waonyeshe waone, waonyeshe waone
Basi waonyeshe waone, waone
Busi waonyeshe waone, waonyeshe waone
Basi waonyeshe

Mungu alikumba kwa udongo
We mtoto fire (fire fire)
Utajinipa mazongo ukija retire (tire tire)
Eeh nizidishe uhondo stim za kaya (kaya kaya)
Sichulu ndondondo penzi lika pwaya (pwaya pwaya)

Unavyonichanganya manuva (iyee)
Kiuno spidi kama msuva (iye)
Kwako napona  Uhmm!
Maajabu samaki nguva (iyee)
Mchezoni unavyo nifunga funga
Magoli ya konaa
Tena kiuno laini   Chuchu dodo dodo
Kitovuni kipini, Mtoto jojojojo
Avae dela kimini Nyuma lojolojo
Katoto ndizi maini, Yani sotojo tojo

Aaaah go gaga (ah eh)
Fanya kama unataga (ah eh)
Tuzivunje chaga (ah eh)
Ongeza mazaga zaga (ah eh)
Aaaah go gaga (ah eh)
Fanya kama unataga (ah eh)
Tuzivunje chaga (ah eh)
Ongeza mazaga zaga

Basi waonyeshe waone, (iye yeah) waone
Basi waonyeshe waone (iye yeah) waonyeshe waone
Basi waonyeshe waone, waone
Busi waonyeshe waone, waonyeshe waone
Basi waonyeshe

 


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)